Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi leo baada ya ibada ya sala ya Ijumaa amemtembelea nyumbani kwake Bi.Khadija Abbas Rashid ambaye alishiriki katika tukio la kihistoria la kuchanganya udongo wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar tarehe 26/4/1964 anayeishi Rahaleo, Mkoa wa Mjini Magharibi.
KAMATI YA KITAIFA YA USIMAMIZI WA MAAFA YAIDHINISHA MPANGO WA DHARURA WA
TAIFA WA KUKABILIANA NA MADHARA YA EL NIÑO
-
Na.Mwandishi wetu - Dar es Salaam
Kamati ya Kitaifa ya Wataalamu ya Usimamizi wa Maafa imeidhinisha Mpango wa
Taifa wa Dharura wa Kukabiliana na Madhara ya...
11 hours ago

0 Comments