Hivi karibuni Bodi ya Dawa na Chakula Zanzibar (ZFDA) Imefanikiwa kuteketeza jumla ya tani 30 za tende ilioharibika kutokana na uhifadhi mbaya na kupelekea kutokua salama Kwa matumizi ya binaadam, pichani ni Tikatika likiteketeza tende hiyo katika jaa la Kibele Wilaya ya Kati Mkoa wa kusini Unguja.
Tanzania mgeni rasmi Maonesho ya Ufugaji Nyuki Afrika nchini Algeria
-
Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Mhe Mobhare Matinyi, akizungumza na
vyombo vya habari vya Algeria wakati akitangaza kuwa Serikali ya Jamhuri ya
Muungan...
14 hours ago
0 Comments