Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Komredi Abdulrahman Kinana akutana na Kufanya mazungumzo na Balozi wa Ubeligiji Nchini Tanzania, Bw. Peter Van Acker, katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya Chama, Lumumba, Dar es Salaam, Juni 16, 2022. (Picha Zote na Fahadi Siraji /CCM MAKAO MAKUU)
Tanzania mgeni rasmi Maonesho ya Ufugaji Nyuki Afrika nchini Algeria
-
Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Mhe Mobhare Matinyi, akizungumza na
vyombo vya habari vya Algeria wakati akitangaza kuwa Serikali ya Jamhuri ya
Muungan...
8 hours ago



0 Comments