Kocha Mkuu wa timu ya Waandishi wa Habari za Michezo Zanzibar (ZASWA) Abubakar Khatib Haji (Kisandu), nikiongozana na kocha msaidizi Suleiman Mkubwa Mundhir Nyanga (kulia kwangu) na meneja wa ZASWA Ally Mohammed (kushoto kwangu), tukiwasili Dar es Salam tukitokea Zanzibar kwaajili ya safari ya Kwenda Wilayani Longido, Mkoa wa Arusha. ZASWA Fc tumealikwa kwenye Bonanza maalumu huko na Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Longido Alawi H. Fuom .
NBAA YAENDELEA KUTOA ELIMU YA TAALUMA YA UHASIBU KWA WANAFUNZI WA CHUO
KIKUU CHA MZUMBE
-
Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) imeendelea
kutoa elimu na mafunzo kwa vyuo vikuu pamoja na shule za sekondari ikiwa na ...
7 hours ago

0 Comments