Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) akiitikia dua iliyoombwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar kabi (katikati) katika makaburi ya wanazuoni mbali mbali waliozikwa katika Msikiti wa Ijumaa Malindi Jijini Zanzibar leo alipozuru makaburi hayo kabla ya kujumuika na Waislamu katika Sala ya Ijumaa (kulia) Sheikh Salum Hemed .[Picha na Ikulu] 04/03/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipozungumza na kuwasalimia Waumini wa Dini ya Kiislamu mara baada ya Sala ya Ijumaa katika Msikiti wa Ijumaa Malindi Jijini Zanzibar leo .[Picha na Ikulu] 04/03/2022.
KAMATI YA KITAIFA YA USIMAMIZI WA MAAFA YAIDHINISHA MPANGO WA DHARURA WA
TAIFA WA KUKABILIANA NA MADHARA YA EL NIÑO
-
Na.Mwandishi wetu - Dar es Salaam
Kamati ya Kitaifa ya Wataalamu ya Usimamizi wa Maafa imeidhinisha Mpango wa
Taifa wa Dharura wa Kukabiliana na Madhara ya...
9 hours ago
0 Comments