Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zubeir Ali Maulid akizungumza na Balozi wa Norway Nchini Tanzania Bi Elisabeth Jacobsen wakati alipomtembelea ofisini kwake Baraza la Wawakilishi Chukwani.
NBAA YAENDELEA KUTOA ELIMU YA TAALUMA YA UHASIBU KWA WANAFUNZI WA CHUO
KIKUU CHA MZUMBE
-
Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) imeendelea
kutoa elimu na mafunzo kwa vyuo vikuu pamoja na shule za sekondari ikiwa na ...
7 hours ago
0 Comments