Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Waziri wa Sheria na Katiba Mhe. George Simbachawene mara baada ya kuwasili katika Viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma kwa ajili ya kushiriki katika Kilele cha Maadhimisho hayo leo tarehe 02 Februari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia katika kilele cha Maadhimisho ya siku ya Sheria nchini yaliyofanyika katika Viwanja vya Chinangali Mkoani Dodoma leo tarehe 02 Februari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi mbalimbali, Majaji wa Mahakama ya Rufani na Mahakama Kuu mara baada ya kuhutubia katika kilele cha Maadhimisho ya siku ya Sheria nchini yaliyofanyika katika Viwanja vya Chinangali Mkoani Dodoma leo tarehe 02 Februari, 2022.
DKT. NUMBI: LCCF 2026 NI JUKWAA MUHIMU KUPANUA FURSA ZA WATANZANIA KATIKA
SEKTA YA MADINI
-
📍MWANZA
Mwenyekiti wa Kamati ya Ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta ya
Madini kutoka Tume ya Madini, Dkt. Theresia Numbi, amesema Jukwaa la Tano...
8 hours ago
1 Comments
Tunashukuru watumishi kupata huduma hii kwa karibu
ReplyDelete