Makamu wa Kwanza wa Rais, Alhaj Othman Masoud ameungana na waumini wa dini ya kiislamu katika sala ya maiti kumsalia mwanasiasa mkongwe Zanzibar, Marehemu Ali Sultan Issa ambae aliwahi kuwa Waziri pamoja na kushika nyadhifa tofauti katika serikali ya Mapinduzi Zanzibar
UWT YAMUHIMIZA MKANDARASI KUKAMILISHA MRADI WA MARIA NYERERE SHOPPING MALL
-
NA MWANDISHI WETU, DAR
Mkandarasi anayetekeleza mradi wa Maduka ya Biashara ya Maria Nyerere
(Maria Nyerere Shopping Mall) ulio chini Jumuiya ya Umoja w...
49 minutes ago
0 Comments