Naibu Spika Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Mgeni Hassan Juma akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa UN Women Nchini Tanzania Bi. Hodan Addou, alipofika ofisini kwake Chukwani Zanzibar kwa mazungumzo.
NBAA YAENDELEA KUTOA ELIMU YA TAALUMA YA UHASIBU KWA WANAFUNZI WA CHUO
KIKUU CHA MZUMBE
-
Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) imeendelea
kutoa elimu na mafunzo kwa vyuo vikuu pamoja na shule za sekondari ikiwa na ...
4 hours ago
0 Comments