Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla amewasili Uwanja wa Ndege wa Tanga akitokea Jijini Dodoma ambapo leo Usiku atamuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi katika Kilele cha Sherehe za Tanzania Muslim Teachers' Association Day.
KATIBU MKUU CCM AZUNGUMZA NA WABUNGE WA EALA TANZANIA.
-
DODOMA | 24 Julai 2026
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro,
amekutana na Wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki...
13 hours ago

0 Comments