Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zubeir Ali Maulid akisalimiana na Gavana wa Benki kuu ya Tanzania Prof.Florence luoga wakati alipowasili katika viwanja vya Hotel Verde Mtoni Jijini Zanzibar wakati wa Mafunzo kuhusu Majukumu ya Benki kuu ya Tanzania.na kujumuka katika futari maalum ilioandaliwa kwa Wajumbe.
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zubeir Ali Maulid akiwaongoza wajumbe wa Baraza la Wawakilishi na wafanyakazi wa Benki kuu ya Tanzania BOT katika futari maalum ilioandaliwa na Benki hiyo mara baada ya kumalizika mafunzo maalum kuhusu Majukumu ya Benki hiyo iliofanyika Hotel Verde.
KAMATI YA KITAIFA YA USIMAMIZI WA MAAFA YAIDHINISHA MPANGO WA DHARURA WA
TAIFA WA KUKABILIANA NA MADHARA YA EL NIÑO
-
Na.Mwandishi wetu - Dar es Salaam
Kamati ya Kitaifa ya Wataalamu ya Usimamizi wa Maafa imeidhinisha Mpango wa
Taifa wa Dharura wa Kukabiliana na Madhara ya...
8 hours ago
0 Comments