Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Canada nchini, Mhe. Pamela O' Donnell, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Januari 14, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
POLISI KATA WATAKIWA KUSHIRIKIANA NA VIKUNDI VYA ULINZI KATIKA MAENEO YAO.
-
Polisi kata na watendaji wa kata zilizopo Wilayani Mpanda Mkoani Katavi
wametakiwa kuratibu na kufanya doria za kutosha kwa kushirikiana na vikundi
vya u...
51 minutes ago
0 Comments