RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi
akitikia dua iliyosomwa na Rais Mstaaf wa Zanzibar Alhaj Dkt.Salmin Amour Juma (kulia
kwa Rais) baada ya kumaliza mazungumzo yao
ya faragha wakati alipomtembelea nyumbani kwake Migombani Jijini
Zanzibar kumjulia hali .
Tanzania mgeni rasmi Maonesho ya Ufugaji Nyuki Afrika nchini Algeria
-
Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Mhe Mobhare Matinyi, akizungumza na
vyombo vya habari vya Algeria wakati akitangaza kuwa Serikali ya Jamhuri ya
Muungan...
8 hours ago
0 Comments