Mchezaji wa Timu ya Machomane akijaribu kuzuiya mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Mao Zedong jana, huku mchezaji wa Timu ya Jangombe Boys akijiandaa kumzuiya. katika mchezo huo Timu ya Jangombe Boys imeshinda bao 3-1.
KATIBU MKUU CCM AZUNGUMZA NA WABUNGE WA EALA TANZANIA.
-
DODOMA | 24 Julai 2026
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro,
amekutana na Wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki...
11 hours ago
0 Comments