Mchezaji wa Timu ya Nyuki akiwa na mpira akijaribu kumpita mchezaji wa Timu ya Polisi katika mchezo wa Ligi Kuu Mpira wa Kikapu uliofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar Timu ya Polishi imeibuka mshindi katika mchezo huo kwa kuifunga Timu ya Nyuki kwa Vikapu 75 - 54.
Tanzania mgeni rasmi Maonesho ya Ufugaji Nyuki Afrika nchini Algeria
-
Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Mhe Mobhare Matinyi, akizungumza na
vyombo vya habari vya Algeria wakati akitangaza kuwa Serikali ya Jamhuri ya
Muungan...
5 hours ago
0 Comments