Muonekano wa mandhari ya bustani ya Forodhani Jijini Zanzibar kama inavyoonekana pichani na muonekano wa majengo ya Historia ya Zanzibar likiwemo jengo la Beit Ajaib Zanzibar.
Tanzania mgeni rasmi Maonesho ya Ufugaji Nyuki Afrika nchini Algeria
-
Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Mhe Mobhare Matinyi, akizungumza na
vyombo vya habari vya Algeria wakati akitangaza kuwa Serikali ya Jamhuri ya
Muungan...
5 hours ago
0 Comments