Muonekano wa Jengo la Bandari na Soko la Samaki linalojengwa katika eneo la Malindi Jijini Zanzibar, kama linavyoonekana pichani uhalisia wa ramani ya jengo hilo linalijengwa na Kampuni ya Rinkai Nissan Construction Co.Ltd. kutoka Nchini Japan.
Serikali Yatoa Rai kwa NIT Kuzalisha Wataalamu wa Usafiri wa Kimataifa
-
Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile, Julai 24, akipata maelezo
wakati alipotembelea chuo cha Usafirishaji Tanzania (NIT) jijini Dar es
Salaam leo J...
1 hour ago
1 Comments
iam from kenya and my name is Ismail and i love that plan for soko ya samaki wa japani pia mm nina wahitaji
ReplyDelete