Muonekano wa Jengo Jipya la Wizara ya Ardhi, Nyumba Maji na Nishati Zanzibar likiwa katika hatua za mwisho za ujenzi huo kama linavyoonekana pichani likiendelea na hatuza za mwisho za ujenzi huo katika maeneo ya barabara ya maisara Suleiman Jijini Zanzibar.
KATIBU MKUU CCM AZUNGUMZA NA WABUNGE WA EALA TANZANIA.
-
DODOMA | 24 Julai 2026
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro,
amekutana na Wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki...
17 hours ago
0 Comments