Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Simai Mohamed Said (kushoto) akimskiliza Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kampuni ya 'The Eleanor Foundation' Bwana Ray Naluyaga ofisini kwake Mazizini alipofika kumtambulisha Mradi wa Ujenzi wa vyoo kwa Skuli mbali mbali zenye upungufu wa huduma hiyo, ambapo amesema mradi huo umeshaanza katika maeneo ya Chato na Biaramuro kwa Tanzania Bara na utaendelea Zanzibar kwa kuanza na Skuli tano kwa vyoo 20 kwa kila Skuli ambavyo vitakua na huduma kamili.
POLISI KATA WATAKIWA KUSHIRIKIANA NA VIKUNDI VYA ULINZI KATIKA MAENEO YAO.
-
Polisi kata na watendaji wa kata zilizopo Wilayani Mpanda Mkoani Katavi
wametakiwa kuratibu na kufanya doria za kutosha kwa kushirikiana na vikundi
vya u...
59 minutes ago
0 Comments