Msanii Nyota kutoka Nchini Sudan akitowa burudani kwa Wananchi na Wageni waliofika katika viwanja vya Bustani ya Forodhani Zanzibar kufuatilia maonesho ya Tamasha la Sauti za Busara Zanzibar, linalofanyika katika v\bustani ya Forodhani na Ukumbi wa Mambo Club Ngome Kongwe Forodhani Zanzibar.
NBAA YAENDELEA KUTOA ELIMU YA TAALUMA YA UHASIBU KWA WANAFUNZI WA CHUO
KIKUU CHA MZUMBE
-
Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) imeendelea
kutoa elimu na mafunzo kwa vyuo vikuu pamoja na shule za sekondari ikiwa na ...
2 hours ago
0 Comments