IPO haja kwa wazazi kuwa makini wakati wa kuwachukuwa watoto wao muda wa kutoka Skuli, pichani mmoja ya mwananchi wa Wilaya ya Wete akiwa amewapakia watoto watano pahali pamoja wakiwa wanatoka skuli, kama alivyokutwa na mpiga picha wetu. (PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
KATIBU MKUU CCM AZUNGUMZA NA WABUNGE WA EALA TANZANIA.
-
DODOMA | 24 Julai 2026
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro,
amekutana na Wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki...
9 hours ago
0 Comments