Kijiko cha Kampuni ya CRJE inayojenga Mitaro ya Maji katika maeneo mbalimbali ya Zanzibar.kama inavyoonekana kikiwa katika zoezi hilo mitaa ya mbweni Zanzibar kikichimba mtaro huo ukitokea katika eneo la barabara ya kiembesamaki na kupelekea maji maeneo ya pwani ya mazizini.
TRAMEPRO YAONYA UTAPELI MITANDAONI,YATOA RAI KWA SERIKALI NA WANANCHI
-
Na Mwandishi Wetu
Shirika la Dawa Asilia na Ulinzi wa Mazingira (TRAMEPRO) limesema
linasikitishwa kuhusu kuongezeka kwa vitendo vya utapeli wa mitandaon...
2 hours ago
0 Comments