Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kati,Diwani wa wadi ya Bungi , ambae pia ni mgeni rasmin katika maonesho ya Soko la wazi la Wajasiri amali wa Wilaya ya Kati ndugu Said Mtaji Askari akiangalia bidhaa mbali mbali kwa wajasiri amali hao; pichani akiwa amevalia suti nyeusi na shati la manjano huko katika kiwanja cha Wilayani Dunga Mkoa wa Kusini Unguja,September 1;2018.
KATIBU MKUU CCM AZUNGUMZA NA WABUNGE WA EALA TANZANIA.
-
DODOMA | 24 Julai 2026
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro,
amekutana na Wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki...
7 hours ago



0 Comments