Tangazo: Kamisheni ya Kukabiliana na Maafa Zanzibar, inawaomba wananchi wote kuchukua tahadhari juu ya upepo mkali na mawimbi makubwa ya bahari yapatayo mita mbili yanayoweza kutokea katika maeneo mbalimbali ya visiwa vya Unguja na Pemba kuanzia siku ya Ijumaa tarehe 20 Julai hadi siku ya Jumatatu tarehe 23 Julai 2018. Tushirikiane kwa pamoja kupunguza athari za majanga yanayoweza kutokea.
[20/07, 06:45] +255 777 419 231: Aidha, kamisheni inawaomba wananchi, kuepuka kukaa chini ya miti mirefu pamoja kuwa waangalifu juu ya matumizi ya vyombo vya uvuvi na usafiri baharini.
DKT. NCHIMBI: WATANZANIA PAMBANENI KUPATA KATIBA MPYA YENYE MWAFAKA
ITAKAYODUMU MIAKA 50
-
Na Janeth Raphael - MichuziTv
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel
Nchimbi, amesema ikiwa angepewa nafasi ya kutoa uj...
1 hour ago
0 Comments