Mgeni Rasmin katika mchezo wa Bonaza la kuadhimisha miaka 40 ya kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe Rashid Ali Juma akimkabodho Kombe la Ushindi wa Bonaza hilo Nahodha wa Timu ya CCM Zanzibar Suleiman Haroub Bapee baada ya kuifunda Timu ya Wasanii wa Zenj Flava kwa penenti 3-1 mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan baada ya kutoka sare ya bao 1-1.
KATIBU MKUU CCM AZUNGUMZA NA WABUNGE WA EALA TANZANIA.
-
DODOMA | 24 Julai 2026
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro,
amekutana na Wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki...
9 hours ago
0 Comments