Wafanyakazi wa Shirika la Umeme Kisiwani Pemba wakifanya zoezi la kuwasajili Wateja wa ZECO kisiwani Pemba wanaohitaji kuungiwa Umeme katika Kisiwa cha Fundo baada ya kisiwa hicho kufika kwa umeme kuwawezesha wananchi wa kisiwa hicho kupata huduma hiyo baada ya kukamilika kwa utandazaji wa laini za waya kwa ajili ya kutowa huduma kwa wananchi hao kuungiwa katika majumba yao.
Tanzania mgeni rasmi Maonesho ya Ufugaji Nyuki Afrika nchini Algeria
-
Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Mhe Mobhare Matinyi, akizungumza na
vyombo vya habari vya Algeria wakati akitangaza kuwa Serikali ya Jamhuri ya
Muungan...
11 hours ago


0 Comments