Wanafunzi wa Skuli ya Msingi ya Munaa wakiwa katika chumba
cha mitihani katika Skuli ya Kisiwandui wakijumuika na wanafunzi wengine
wakisubiri kufanya mtihani wa wa somo la Sayansi.
MiXX Yakabidhi Zawadi kwa Washindi wa Kampeni ya Kombe la Dunia
-
Na Mwandishi Wetu
Kampuni ya MiXX imeendelea kuwazawadia wateja wake kupitia kampeni ya
"Kombe la Dunia ya Ikiingia Tu... Golii!", inayowapa nafasi ya kujis...
2 days ago
0 Comments