Jijini Sundsvall nchini Sweden wananchi tayari wameshaanza kutumia gari zinazotumia nguvu za umeme na kwa hivi sasa mwenye gari inayotumia umeme anapata huduma ya kuchaji bure.
Tanzania mgeni rasmi Maonesho ya Ufugaji Nyuki Afrika nchini Algeria
-
Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Mhe Mobhare Matinyi, akizungumza na
vyombo vya habari vya Algeria wakati akitangaza kuwa Serikali ya Jamhuri ya
Muungan...
8 hours ago
0 Comments