Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) (kushoto) akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora wa Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman alipomtembelea ofisini kwake mapema leo.
UWT YAMUHIMIZA MKANDARASI KUKAMILISHA MRADI WA MARIA NYERERE SHOPPING MALL
-
NA MWANDISHI WETU, DAR
Mkandarasi anayetekeleza mradi wa Maduka ya Biashara ya Maria Nyerere
(Maria Nyerere Shopping Mall) ulio chini Jumuiya ya Umoja w...
1 hour ago
1 Comments
Huyo waziri Kairuki ingependeza kama ungelisema ni waziri wa wapi
ReplyDelete