Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitimiza wajibu wake wa kupiga kura kwa ajili ya kuchagua Rais, Mbunge, Mwakilishi, na Diwani kwenye kituo cha kupigia kura namba 7 katika Shule ya Sekondari ya Kiembesamaki Zanzibar, kwenye Uchaguzi Mkuu wa Tanzania unaofanyika leo Octoba 25, 2015 Nchini kote. (Picha na OMR)
RAIS DKT. MWINYI AITAKA OACPS KUGEUZA MAAZIMIO KUWA PROGRAMU
ZINAZOWANUFAISHA WANANCHI
-
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein
Ali Mwinyi, ameitaka Jumuiya ya Nchi za Afrika, Karibiani na Pasifiki
(OACPS) ku...
1 hour ago
0 Comments