Matayarisho ya Ujenzi wa Uwanja mpya wa Watoto Kariakoo, kilichokuwa kikijulikana kwa jina la Kiwanja cha Kufurahishia Watoto Kariakoo Zanzibar,kama kinavyoonekana pichani baada ya kufunguliwa baadhi ya pembea zilizokuwa zikitumika katika kiwanja hicho, ili kupisha ujenzi wake na kufungwa mapembea ya kisasa baada ya ujenzi wake unaojengwa na Kampuni kutoka nchini China.
DKT. ABBASI AKAGUA MIRADI YA UTALII PORI LA AKIBA LA PANDE, ATOA MAAGIZO YA
KUKAMILIKA KABLA YA AFCON 2027
-
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi, leo Julai
23, 2026, ametembelea Pori la Akiba la Pande jijini Dar es Salaam na
kukagua ...
9 minutes ago
2 Comments
Huu ni uvivu wa kufikiri!..Nilitarajia SMZ watumie uwanja huu kwa kitu kingine kama vile ujenzi wa stendi au ofisi za serikali.
ReplyDeleteKtk wakati huu wa biashara huria SMZ ilitakiwa iwaachie w'nchi watafute maeneo ya kujenga mapembea ya kufurahishia watoto.
This comment has been removed by the author.
ReplyDelete