Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Pakistan nchini Tanzania, Tajaamul Altaf aliyefika Ikulu leo kuonana na Rais
Dk Shein akibadilishana mawazo na Balozi wa Pakistan, Tajaamul Altaf
Picha na Ramadhan Othman
KATIBU MKUU CCM AZUNGUMZA NA WABUNGE WA EALA TANZANIA.
-
DODOMA | 24 Julai 2026
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro,
amekutana na Wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki...
13 hours ago
0 Comments