SAGAMAWE la kampuni ya Ujenzi ya MECCO inayojenga barabara mpya ya Bumbwini Mfenesini likiweka sawa kifusi ili kuweza kuweka lami baada ya kujengwa upya na kutanuliwa, kama mdau alivyowakuta wafanyakazi hawa wakiendelea na kazi hiyo wakiwa maeneo ya Fujoni
Tanzania mgeni rasmi Maonesho ya Ufugaji Nyuki Afrika nchini Algeria
-
Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Mhe Mobhare Matinyi, akizungumza na
vyombo vya habari vya Algeria wakati akitangaza kuwa Serikali ya Jamhuri ya
Muungan...
11 hours ago
0 Comments