Naibu Waziri wa Madini, Mhe.Stanslaus Nyongo,
akizungumza na wahariri wa Vyombo vya Habari Nchini (pichani), leo katika Ofisi
ndogo za Wizara hiyo Jijini Dar es Salaam, kuhusu mkutano mkubwa Wa Madini
utakaofanyika katika Kituo cha Mikutano Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam,
Tanzania kuanzia Februari 21 hadi 23,2020.
𝐌𝐀𝐊𝐀𝐌𝐔 𝐖𝐀 𝐑𝐀𝐈𝐒 𝐀𝐖𝐄𝐊𝐀 𝐉𝐈𝐖𝐄 𝐋𝐀 𝐌𝐒𝐈𝐍𝐆𝐈
𝐔𝐉𝐄𝐍𝐙𝐈 𝐖𝐀 𝐌𝐀𝐉𝐄𝐍𝐆𝐎 𝐘𝐀 𝐂𝐇𝐔𝐎 𝐊𝐈𝐒𝐇𝐈𝐑𝐈𝐊𝐈 𝐂𝐇𝐀
𝐄𝐋𝐈𝐌𝐔 𝐌𝐊𝐖𝐀𝐖𝐀 - 𝐈𝐑𝐈𝐍𝐆𝐀
-
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Deogratius
Ndejembi, ameweka jiwe la msingi katika ujenzi wa majengo mapya ya Chuo
Kishiriki ...
11 minutes ago
0 Comments