~Rais wa Jumuia ya waTanzania DMV Mh. Iddi Sandaly, wakwanza kushoto, Waheeda Margaret Gathesha, Chief wa swahilivilla Abou Shatry, Aunt Rehema, pamoja na Salma Jay Jay pia alikuwepo katika matembezi ya kupigana na ujongwa wa saratani ya maziwa hapa Washington DC.
MAMA SAMIA LEGAL AID YAWAFIKIA WANAFUNZI VISIGA, YATOA ELIMU YA KUPAMBANA
NA UKATILI
-
Na Mwamvua Mwinyi, Kibaha
TIMU ya watoa huduma wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia Awamu
ya Pili katika Manispaa ya Kibaha, imewataka wanafunzi ...
22 minutes ago
0 Comments