Meneja
Muandamizi Mahusiano ya Benki ya NMB na Serikali CPA Jaha Haji Khamis akimkabidhi zawadi ya Mchezaji
Mwenye Nidhamu Michuano ya NMB Mapinduzi Cup 2026 kutoka Timu ya Mlandege Jamal
Saleh Ali, wakati wa mchezo wao na Timu ya URA, uliyofanyika katika Uwanja wa New
Amaan Complex Zanzibar. Timu ya URA imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.
MiXX Yakabidhi Zawadi kwa Washindi wa Kampeni ya Kombe la Dunia
-
Na Mwandishi Wetu
Kampuni ya MiXX imeendelea kuwazawadia wateja wake kupitia kampeni ya
"Kombe la Dunia ya Ikiingia Tu... Golii!", inayowapa nafasi ya kujis...
10 hours ago


0 Comments