Mshambuliaji wa Timu ya TRA United Enock Mkanga (kulia) na (kushoto) beki wa Timu ya KVZ Juma Shaban Hussein wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Michuano ya NMB Mapinduzi Cup 2026 mchezo uliyofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex, katika mchezo huo Timi hizo zimetoka sare ya bao 1-1.
MiXX Yakabidhi Zawadi kwa Washindi wa Kampeni ya Kombe la Dunia
-
Na Mwandishi Wetu
Kampuni ya MiXX imeendelea kuwazawadia wateja wake kupitia kampeni ya
"Kombe la Dunia ya Ikiingia Tu... Golii!", inayowapa nafasi ya kujis...
9 hours ago







0 Comments