Waziri Mkuu, Kasssim Majaliwa akimkabidhi zawadi ya Dola za Marekani 6000, Mohammed Yacine kutoka Algeria (kushoto kwake ) ambaye alikuwa mshindi wa kwanza wa kilele cha Tuzo za 33 za Kimataifa za kuhifadhi Qurani Tukufu kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam, Februari 23, 2025. Kushoto ni Sheikh Mkuu na Mufti wa tanzania, Dkt Abubakar Zubeir Ally. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
MiXX Yakabidhi Zawadi kwa Washindi wa Kampeni ya Kombe la Dunia
-
Na Mwandishi Wetu
Kampuni ya MiXX imeendelea kuwazawadia wateja wake kupitia kampeni ya
"Kombe la Dunia ya Ikiingia Tu... Golii!", inayowapa nafasi ya kujis...
1 day ago
0 Comments