Inna lilahi wainna ilayhi raajiuun. Haji Kimara ametangulia mbele ya haki.Allah ampe Qauli thabit na amsameh makosa yake.Haji Aliwahi kuchezea timu ya Small Simba wakati ule wa Moto Small.Na aliwahi kuchezea timu ya Kikwajuni
MiXX Yakabidhi Zawadi kwa Washindi wa Kampeni ya Kombe la Dunia
-
Na Mwandishi Wetu
Kampuni ya MiXX imeendelea kuwazawadia wateja wake kupitia kampeni ya
"Kombe la Dunia ya Ikiingia Tu... Golii!", inayowapa nafasi ya kujis...
1 day ago

0 Comments