Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye
mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye
ambaye ni Waziri wa Masuala ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, Vijana Michezo na
Utamaduni Mhe. Balozi Gervais Abayeho (pamoja na ujumbe wake) mara baada ya
kuwasili Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 30 Oktoba, 2023.
KATIBU MKUU CCM AZUNGUMZA NA WABUNGE WA EALA TANZANIA.
-
DODOMA | 24 Julai 2026
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro,
amekutana na Wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki...
15 hours ago
.jpg)
0 Comments