Mshambuliaji wa Timu ya Singida Big Star akiwapita mabeki wa Timu ya Azam wakati wa mchezo wao wa Nusu Fainali ya Kombe la Mapinduzi uliochezwa jana usiku 8-1-2023, na kuipatia Timu yake ya Singida mabao 4 yote ameyafunga yeye katika mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.Timu ya Singida Big Star imeshinda bao 4-1
MWENYEKITI WA WAZAZI TAIFA AWAASA VIONGOZI WA CCM NA JUMUIYA ZSKE KUTATUA
MIGOGORO YA ARDHI
-
Na Victor Masangu, Kibaha
Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi Taifa Ndg. Fadhili Maganya amewaasa
viongozi wa chama cha mapinduzi (CCM) ngazi za Wilaya p...
9 hours ago
0 Comments