RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.,Hussein Ali Mwinyi mgeni rasmin katika Mashindano Makuu ya
7 ya kusoma Quran Tajweed akisalimiana na Majaji wa Mashindano hayo kutoka
Kenya na Misri, alipowasili katika Masjid Noor Muhammad S.A.W Mombasa kwa
Mchina
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa kabla ya kuaza kwa
Mashindano Makuu ya 7 ya kusoma Quran Tajweed yalioandaliwa na Majlisul Quran Zanzibar
na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kaab yaliofanyika
katika Masjid Noor Muhammad S.A.W. Mombasa kwa Mchina.
WAUMINI wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakifuatilia
Mashindano Makuu ya 7 ya kusoma Quran Tajweed yalioandaliwa na Majlisul Quran
Zanzibar, yaliofanyika katika Masjid Noor Muhammad S.A.W Mombasa kwa Mchina
Dkt. Mwigulu Nchemba Aongoza Washiriki Zaidi ya 13,000 NBC Dodoma Marathon;
Shilingi Bilioni 1 Zakusanywa Kuokoa Maisha ya Mama na Mtoto
-
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Lameck
Nchemba, leo ameongoza zaidi ya washiriki 13,000 katika mbio za NBC Dodoma
Marathon 202...
3 hours ago
0 Comments