Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo (kulia) akimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar) Dkt. Abdallah Juma Saadalla (Mabodi) mara baada ya kufika nyumbani kwake Chukwani,Unguja na kumfariji baada ya mtoto wake Rubani Ashraf Abdallah Juma kupata ajali ya na ndege nchini Comoro mwishoni mwa mwezi februari,2022. (Picha na CCM Makao Makuu)
KATIBU MKUU CCM AZUNGUMZA NA WABUNGE WA EALA TANZANIA.
-
DODOMA | 24 Julai 2026
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro,
amekutana na Wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki...
20 hours ago
0 Comments