Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais mhe Dkt Sada Mkuya Salum akiwasilisha Mswada wa Sheria ya kuanzisha Mamlaka ya kupambana na Dawa za Kulevya, kazi, Majukumu yake na mambo mengine yanayohusiana na hayo katika Mkutano wa Tano wa Baraza la kumi la Wawakilishi .
Mwenyekiti wa Kamati ya kusimamia Ofisi za Viongozi wakuu wa Kitaifa mhe Hassan Khamis Hafidh akisoma hotuba ya kamati kuhusu Mswada wa Sheria ya kuanzisha Mamlaka ya kupambana na Dawa za Kulevya, kazi, Majukumu yake na mambo mengine yanayohusiana na hayo katika Mkutano wa Tano wa Baraza la kumi la Wawakilishi
MiXX Yakabidhi Zawadi kwa Washindi wa Kampeni ya Kombe la Dunia
-
Na Mwandishi Wetu
Kampuni ya MiXX imeendelea kuwazawadia wateja wake kupitia kampeni ya
"Kombe la Dunia ya Ikiingia Tu... Golii!", inayowapa nafasi ya kujis...
1 day ago
0 Comments