Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na wenyekiti wa kamati ya kitaifa ya uratibu wa utekelezaji wa mpango wa maendeleo kwa ustawi wa taifa na mapambano dhudi ya UVIKO 19 akizungumza katika kikao cha kamati hiyo, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Oktoba 21, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
SERIKALI YAPONGEZA CHUO CHA UFUNDI ARUSHA KWA UJENZI WA KARAKANA YA
UZALISHAJI VIPURI
-
Na Seif Mangwangi, Michuzi TV, Arusha
SERIKALI imeipongeza Menejimenti na uongozi wa chuo cha ufundi Arusha
(ATC), kutokana na bunifu mbalimbali zinazoende...
12 hours ago
0 Comments