Mkurugenzi wa Masoko wa Shirika la Bima la Taifa Tanzania Ndg.Yessaya Mwakifulefule akimkabidhi zawadi Mchezaji Bora wa Mchezo wa Kombe la Mapinduzi Cup Mchezaji wa Timu ya Simba Francis Kahata baada ya kuibuka mchezaji bora wa mchezo huo uliofanyika jana usiku. katika uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.
Mkurugenzi wa Masoko wa Shirika la Bima la Taifa Tanzania Ndg.Yessaya Mwakifulefule akimpongeza Mchezaji wa Timu ya Simba Francis Kahata baada ya kumkabidhi zawadi yake ya fedha taslim zilizotolewa na Shirika la Bima la Taifa Tanzania kwa Mchezaji atakayechaguliwa na Jopo la Makocha kuwa Mchezaji Bora wa Mchezo wa Kombe la Mapinduzi Cup Zanzibar.
MiXX Yakabidhi Zawadi kwa Washindi wa Kampeni ya Kombe la Dunia
-
Na Mwandishi Wetu
Kampuni ya MiXX imeendelea kuwazawadia wateja wake kupitia kampeni ya
"Kombe la Dunia ya Ikiingia Tu... Golii!", inayowapa nafasi ya kujis...
1 day ago
0 Comments