Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC Jaji Mkuu Mstaaf wa Zanzibar Mhe. Hamid Mahmoud Hamid, akipokea Fomu za Mgombea Urais kupitika Chama cha Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Mwinyi wakati wa zoezi hilo lililofanyika katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Maisara Jijini Zanzibar.








0 Comments