Mafundi wa Kampuni inayojenga barabara ya kiwango cha lami kutoka Kwa nyanya hadi Bububu Polisi wakimalizia ujenzi huo kwa kuweka mzunguko katika makutano ya barabara ya mbuzi na ya kwanyanya kwenda Mjini na Mkoa wa Kaskazini Unguja, kama wanavyoonekana pichani wakiwa katika harakati za ujenzi huo.
St Anne Marie Academy Yaahidi Kuendelea Kusomesha Waliofiwa Na Wazazi
-
Na Mwandishi Wetu
WAZIRI wa zamani wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna
Tibaijuka amewataka wakaguzi wa shule kutenda haki kwa shule...
1 hour ago



0 Comments