Mchezaji wa Timu ya Kipanga na Jangombe Boys wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar Timu hizo zimetoka sare ya bila kufungana 0-0.
NGORONGORO NI ZAIDI YA KRETA.
-
Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro inaendelea kuvitangaza vivutio vya
utalii vilivyopo ndani na nje ya Ngorongoro ili kuidhihirishia dunia kuwa
eneo ...
17 hours ago
0 Comments