Waziri wa maji wa SMT Prof Makame Mbarawa akimweleza jambo Katibu wa Idara ya Oganizeshi ya CCM Zanzibar Ndg. Galoso Nyimbo wakati akirudisha fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM leo
Waziri wa maji wa SMT Prof Makame Mbarawa akikabidhi fomu kwa Katibu wa Idara ya Oganizeshi ya CCM Zanzibar Ndg. Galoso Nyimbo wakati akirudisha fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM leo
Waziri wa maji wa SMT Prof Makame Mbarawa akuiongea na wanahabari baada ya kurudisha fomu ya kugombea Urais kupitia CCM
MiXX Yakabidhi Zawadi kwa Washindi wa Kampeni ya Kombe la Dunia
-
Na Mwandishi Wetu
Kampuni ya MiXX imeendelea kuwazawadia wateja wake kupitia kampeni ya
"Kombe la Dunia ya Ikiingia Tu... Golii!", inayowapa nafasi ya kujis...
1 day ago



0 Comments